Warizi wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo (katikati) akipokea sehemu ya msaada wa magodoro na branketi wenye thamani ya Sh. Milini 7.5, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Tanzania Toyota Limited, Hatim Karimjee, kwa ajili ya wananchi wa Kilosa waliokumbwa na mafuriko hivi karibuni. Hafla hiyo fupi ya makabidhiano hayo ilifanyika leo, Dar es Salaam.
WMA WATOA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA KUHUSU MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
WAKALA wa Vipimo (WMA) wameendelea kuendelea kutoa elimu kwa
wafanyabiashara kuhusu matumizi sahihi ya mizani na vipimo ...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment