Baadhi ya waandishi wa habari wanawake, wakiwajibika jana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani.
Mpiga picha wa Chanel Ten, Faudhia, akiwa kazini katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, iliyoadhimishwa Duniani kote leo. Maadhimisho hayo ka upande wa Tanzania yalifanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo mchana.
No comments:
Post a Comment