Menu

Monday, March 15, 2010

*SIMBA KUPAA KESHO KWENDA KOMBE LA SHIRIKISHO-ZIMBABWE


Hafisa Habari wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Triford Ndimbo, akizungumza na waandishi wa habari jijini leo, kuhusu safari ya Timu ya Simba inayoondoka kesho kuelekea nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wake wa Kombe la Shirikisho na timu ya Lengthens.

No comments:

Post a Comment