Habari za Punde

*AKILI ZA KWAKO, CHANGANYA NA ZA HOTUBA, MGOMO YAYUUU

Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Nicholas Mgaya, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo akitoa tamko la Shirikisho hilo kuhusu kauli ya Rais Kikwetwe, akidai kuwa hakumtendea haki katika hotuba yake aliyoisoma kwa Taifa zima jana na wazee wa Dar es Salaam, Mgaya aliwataka wafanyakazi wote kuendelea na kazi na kutoa tamko la kusitisha mgomo uliokuwa umepangwa kufanyika nchini kote kesho na badala yake kusubiri yale yatakayoafikiwa katika kikao cha Mei 8 mwaka huu baina yao na Serikali.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.