Habari za Punde

*MWENDESHA GUTA AZIDIWA NA MZIGO, AKOSA MSAADA APIGA SIMU KUOMBA MSAADA

Dereva wa Baiskeli ya miguu mitatu (Guta), akipiga simu kuomba msaada kwa wenzake baada ya kuelemewa na mzigo wa chupa za maji alizokuwa amebeba, kufuatia guta lake kupata pancha na mzigo huo kuelemea upande mmoja mbovu jambo lililomfanya hadi kukatikiwa na ndala alizokuwa amevaa na huku mzigo huo ukizidi kwenda chini, katika mitaa ya Posta Barabara ya Bibi Titi, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.