Habari za Punde

*ALIYE TIMIZA NDOTO YAKE YA KUMKUMBATIA KAKA AACHIWA HURU

Nagari, akiwa katika Kituo cha Polisi Kati, akisubiri Taratibu za dhamana kukamilika...akichelea menothelathinanje yote mbili...

Nagari Komba, aliyefanya tukio la kumkumbatia Ricardo Kaka, wakati mchezo wa Kirafiki kati ya Brazil na Taifa Stars, akitoka nje ya Kituoa cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam leo, baada ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Suleiman Kova, kutangaza kumuachia huru na shauri lake kuhamishiwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF).

Akiwa na Baba yake mzazi na Ndugu katika gari kuelekea nyumbani...... akiwa na furaha teleee

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.