Habari za Punde

*BENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA VITANDA KWA WILAYA 8 ZA MKOA WA MBEYA

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Exim, Sabetha Mwambenja (katikati) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitanda 8, vyenye thamani ya Sh. Milioni 8.5, Katibu Tawala wa Mkoa Mbeya, Beatha Swai, kwa ajili ya wodi za Wazazi, ambavyo vitagaiwa katika Wilaya nane za Mkoa huo. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la kutoa huduma za Afya (PSI), Mary Mwanjelwa, aliyewezesha msaada huo uliokabidhiwa jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Exim, Sabetha Mwambenja (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi za Benki hiyo jijijni Dar es Salaama leo mchana, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa vitanda.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.