Habari za Punde

*BWANAMDOGO ANAYEELEKEA KUFANYA VIZURI KATIKA ULIMWENGU WA SOKA

Mchezaji wa timu ya chini ya umri wa miaka 20 iliyo chini ya TSA, Thomas Ulimwengu, akipozi kwa picha na mshambuliaji wa timu ya wanawake, Fadhila Kilele wakati alipokutana na Kamera ya Sufianimafoto kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka nchini TFF. Ulimwengu pia amewahi kuichezea timu ya Moro United katika msimu mmoja kwa mkopo, hatimaye sasa timu kibao za Ligi kuu ya Tanzania bara zimeanza kumtolea macho kinda huyu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.