Mwanachama wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Masoud Saad (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Ayoub Nyenzi, katika uchaguzi wa Klabu hiyo unaotarajia kufanyika hivi karibuni. Wagembea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa Klabu hiyo wamejitokeza kuchukua fomu katika Ofisi za Makao Makuu ya Yanga yaliyopo Mtaa Twiga na Jangwani leo mchana. Wapili (kulia) ni Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Kanda ya Temeke, Amir Ngayama.
YANGA YAICHAPA AL HILAL 1-0 MAURITANIA
-
KLABU ya Yanga imeweka hai matumaini ya kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya
Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al-Hilal Omdurman ya
Sudan le...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment