Balozi wa Uingereza nchini, Diane Corner (watatu kushoto) akizungumza na mmoja kati ya watu waliopigana vita kuu ya pili ya Dunia ya 1936-1946, David Nickol, aliyekuwa katika Kikosi cha sita, wakati walipofika kuweka shada la maua kwenye Mnara wa Askari uliopo Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam leo mchana, ikiwa ni sehemu ya kuwakumbuka wenzake aliokuwanao katika vita hiyo.
YANGA YAICHAPA AL HILAL 1-0 MAURITANIA
-
KLABU ya Yanga imeweka hai matumaini ya kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya
Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al-Hilal Omdurman ya
Sudan le...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment