*RAIS JAKA KIKWETE AZINDUA MAABARA YA DAMU SALAMA KATIKA HOSPITALI YA MAWENI.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya Maweni wakati wa uzinduzi wa Maabara mpya ya uhifadhi Damu Salama leo mchana. Picha na Freddy Maro
Rais Jakaya mrisho Kikwete, akisikiliza maelezo ya Mwakilishi wa Wizara ya Afya Dr. Pamela Sawa, kuhusu uhifadhi wa damu Salama katika mabara ya kisasa katika hospitali ya Maweni mjini Kigoma muda mfupi baada ya Rais kuifungua maabara hiyo leo mchana.
BUNGENO DODOMA.

Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo wakiteta jambo nje ya Ukumbi waBunge mjini Dodoma leo mchana.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa, wakifuatilia hotuba ya makadirio ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, ya mwaka 2010-2011, iliyokuwa ikisomwa na waziri Mkuu Mizengo Pinda katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
*RAIS KARUME AKUTANA NA MEYA WA ISTANBUL.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume (kushoto) akisalimiana na Meya wa Instanbul Kadir Topbas, aliyeongozana na ujumbe wa watu 6 akiwamo Mwenyekiti wa Turkish Airline, Hamad Topcu (wa pili kulia) na Balozi wa Bunge na wafanyabiashara, wakati walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kuonana na Rais leo. Picha na Ramadhan Othman-IKULU Zanzibar.
*RAIS KARUME AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA JIMBO LA JIANGSU CHINA.
No comments:
Post a Comment