Habari za Punde

*CAMEROON NAYO HOI KWA JAPAN, YACHAPWA 1-0

Mfungaji wa bao pekee katika mchezo wa Kundi E kati ya Cameroon na Japan, Keisuke Honda wa Japan (kulia) akichuana kuwania mpira na kipa wa Cameroon, Hamidou Souleymanou, wakati wa mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Free State, katika michuano ya Fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Afrika ya Kusini. Japan imeshinda 1-0 mchezo uliomalizika hivi punde. Picha na Stuart Franklin.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.