Habari za Punde

*MISS ILALA SASA KUFANYIKA JUNI 26, MISS TANGA JUNI 19

Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani Juni 26 mwaka huu kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza, kuwania taji la Miss Ilala 2010, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya pamoja ya kujiandaa na shindano hilo.
Katika pozi tofauti na vazi la Vodacom.

Mwalimu wa warembo hao Miss Ilala 2010, Sylvia Shali, akipozi kwa picha kuwaonyesha warembo hao jinsi ya kupozi ili kuwa 'Photo Genic' wakati wa zoezi la kupiga picha warembo hao.

Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani Juni 26 mwaka huu kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza, kuwania taji la Miss Ilala 2010, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya pamoja ya kujiandaa na shindano hilo. Katikati ni Mwalimu wa warembo hao Miss Ilala 2009-2010, Sylivia Shali.

Warembo hao katika picha ya pozi tofauti na vazi la Redd's.

MISS TANGA NI JUNI 19
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya 'Five Brothers', Asmah Makau akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu shindano la kumsaka Miss Tanga 2010, linalotarajia kufanyika Juni 19 mjini Tanga. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Nassor Makau na ofisa Masoko wa kampuni hiyo, Ally Hashim.






No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.