Habari za Punde

*DIASPORA KUWAUNGANISHA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI KULETA MAENDELEO YA KIUCHUMI TANZANIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Sazi B. Salula, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Diaspora uliofanyika kwenye Hoteli ya Kempinski jijini Dar es Salaam leo. Mkutano huo unalengo la kutafuta jinsi ya kuwatafuta na kuwakusanya pamoja na kuwatumia Watanzania wote waishio nje ya nchi mbalimbali ili kuweza kuwekeza nchini na kuleta au kushiriki katika maendeleo ya kukuza uchumi wa Tanzania. Kulia ni Ofisa Mission IOM, Par Liljert (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tanzanite One, Ami Mpungwe.

Katibu Mku, Sazi Salula, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo.

baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa kwenye Chumba cha Mkutano....

Washiriki wa mkutano wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu..

Mfanyabiashara ambaye pia ni miongoni mwa watanzania wanaoishi nchini Marekani, na Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya FEA Ltd, Alfred Nkunga, akihijiwa na waandishi wa habari baada ya mkutano huo.









No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.