Jamani eti huyu askari wa kike kaingia kufanya nini kwenye choo cha wanaume eti naye pia akisimama na mjeshi mwenzake wa kiume kunanilui haja ndogo huu si uchale wa kupitiliza huu?. Hizi ni picha za matukio ya kweli ambayo yalinaswa kupitia satellite katika maeneo mbali mbali,
haya yapo na yanatokea kila siku sio bongo tu, ebwana eeh! hata huko duniani kuna kuna askari waliochizika kihivi??????.
haya yapo na yanatokea kila siku sio bongo tu, ebwana eeh! hata huko duniani kuna kuna askari waliochizika kihivi??????.
Sasa hebu cheki hii nayo kali hapa ni wakati wakiwa katika mazoezi ya kulenga shabaha, hivi hata jamaa hawa wakiwa vitani kuna mahala ambapo wanawezafika ikabidi watumie staili kama hii? au ndo vituko tuuuu.
Askari wakiwa katika paredi.....
Askari wakiwa katika paredi.....
Askari wanavituko bwana usipime, eti wanaoga katika boti ambalo lipo juu ya Manuwari, huku wakijihisi wapo majini kama unavyoona mpira wa maji kutoka katika bomba ukijaza maji katika boti hilo.
Huyu naye navuta na kuongoza ndege kwa kutumia kamba...... Mdau wa Sufianimafoto usikose kesho tena matukio ya namna hii ya jamaa hawa na vituko lukuki.
Huyu naye navuta na kuongoza ndege kwa kutumia kamba...... Mdau wa Sufianimafoto usikose kesho tena matukio ya namna hii ya jamaa hawa na vituko lukuki.
No comments:
Post a Comment