Habari za Punde

*ARGENTINA YAIADHIBU KOREA KUSINI 4-1

Mshambuliaji wa timu ya Argentina, Leonel Messi (kulia) akijiandaa kumiliki mpira mbele ya wachezaji wa Korea Kusini, Lee Jung-Soo, wakati wa mchezo wa pili wa mzunguko wa kwanza wa timu hizo, uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Soccer City, Soweto Johannesburg. Argentina imeshinda mabao 4-1. Picha na AFP

Mshabuki wa soka wa timu ya Argentina, akipuliza Vuvuzela kushangili timu hiyo baada ya ushindi wa mabao 4-1.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.