Mkurugenzi wa Mauzo, Huduma za kabla na usambazaji wa Kampuni ya simu za mkononi Vodacom, Exaud Kiwari (kulia) na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Seif Mohamed (katikati) wakizindua huduma mpya ya kuchangia elimu kupitia huduma ya M-Pesa, itakayowawezesha Watanzania na wadau wa elimu kuchangia elimu kupitia mamlaka hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pesa, hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika jijini Dar es Salaam leo . Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom, Nector Pendael Foya.
Mkurugenzi wa Mauzo, Huduma za kabla na usambazaji wa Kampuni ya simu za mkononi Vodacom, Exaud Kiwari (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo akifafanua kuhusu huduma hiyo ya kuchangia Elimu kupitia Taasisi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kutumia huduma ya M-Pesa. Katikati ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Seif Mohamed (kushoto) ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom, Nector Foya.
No comments:
Post a Comment