Habari za Punde

*JK AKUTANA NA WADHAMINI WAKE LEO DAR

Baadhi ya Wazee na Wanachama wa CCM, wakishangilia na kuimba wakati Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, kukutana na kufanya mazungumzo na wanaCCM 350 wa mkoa wa Dar es Salaam, waliojitokeza kumdhamini kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.