Habari za Punde

*VIJANA 180 WALAMBA AJILA MAONYESHO YA SABASABA DAR

Mkurugenzi wa Bodi ya Biashara ya Nje (BET), Ramadhani Hashim, akizungumza na waandishi wa habari leo mchana baada ya kumalizika mkutano na vijana 180 walioajiliwa kwa muda kwa ajili ya kufanya kazi ndani ya mabanda ya maonyesho ya 35 ya Biashara ya kimataifa yanayotalajiwa kuanza kufanyika hivi karibuni, kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Temeke jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.