Habari za Punde

*KALIMAUGANGA AWAZAWADIA WATANGAZAJI WA REDIO MAGIC

Mganga wa jadi maarufu kama Kalimauganga (kulia) akimkabidhi Mbuzi mtangazaji wa Kipindi cha michezo cha Redio Magic ya jijini Dar es Salaam, Kilumanga, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa redo hiyo katika upande wa michezo. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ofisi za Shirikisho la Mpira wa miguu nchini (TFF) leo mchana.
"ASIJEKUWA WA KAFALA TU"
Kilumanga akimbeba mbuzi wake na kuondoka nae baada ya kukabidhiwa.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.