Habari za Punde

*tiGO YAENDELEA KUTOA ZAWADI ZA JIKOKI

Ofisa Viwango wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, David Zacharia (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 5, mshindi wa Promosheni ya ‘JIKOKI’, Dorah Temu, mkazi wa Kurasini jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi iliyofanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo leo mchana.

Ofisa Viwango wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, David Zacharia (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 5, mshindi wa Promosheni ya ‘JIKOKI’, Edward Mushi, mkazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi iliyofanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo jana. Katikati ni mratibu wa Mafunzo wa kampuni hyi, Alinanuswe Mwaikasu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.