MTU WA KWANZA ILIKUWA NI SAA 9:00 ASUBUHI
Shamsi Vuai Nahodha, akisalimiana na wanachi waliofika kwenye Ofisi za Makao makuu ya CCM Zanzibar jana kwa ajili ya kushuhudia wagombea wa nafasi ya Urais wa Kisiwa hicho, waliokuwa wakifika kuchukua fomu za kuwania nafasi hio.
Vuai Nahodha, akiwa na baadhi ya waumini wa dini ya kiislam, wakiomba dua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume, lililopo nje ya ofisi hizo zilizopo Kisiwandui, kabla ya kuingia kuchukua fomu hiyo ya urais.
Wakitoka katika kaburi hilo.
Shamsi Vuai Nahodha, akisindikizwa na umati wa watu kuelekea kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais katika Ofisi hizo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (kushoto)
akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, wakati alipofika
kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar jana.
akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Ali Abeid Karume, wakati alipofika
kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo zilizopo Kisiwandui mjini Zanzibar jana. Kulia ni Mkewe, Hudda Ali.
Ali Abeid Karume, akitoa maelezo ya shukurani, baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Kulia ni mkewe, watoto wake na baadhi ya wanafamilia waliofika
kumsindikiza wakati wa kuchukua fomu.
Baada ya kuchukua fomu, Ali Karune alikwenda kufanya mkutano na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Serena, mjini Zanzibara na kumwaga sera zake na malengo ya kugombea urais ikiwa ni pamoja na CV yake kwa ujumla.
akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Ali Juma Shamhuna, wakati alipofika
kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar jana.
Ali Juma Shamhuna, akizungumza na waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Zanzibar Ocean View, mjini Zanzibar baada ya kuchukua fomu.
MTU WA NNE ALICHUKUA SAA 12:00 MCHANA
Vuai Nahodha, akiwa na baadhi ya waumini wa dini ya kiislam, wakiomba dua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume, lililopo nje ya ofisi hizo zilizopo Kisiwandui, kabla ya kuingia kuchukua fomu hiyo ya urais.
Wakitoka katika kaburi hilo.
Shamsi Vuai Nahodha, akisindikizwa na umati wa watu kuelekea kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais katika Ofisi hizo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (kushoto)
akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, wakati alipofika
kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar jana.
Vuai na wazee waliomsindikiza, wakiomba dua baada ya kukabidhiwa fomu hiyo kabla ya kutoka katika ofisi hizo
MTU WA PILI ILIKUWA NI SAA 10:00 ASUBUHI
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (kushoto)akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Ali Abeid Karume, wakati alipofika
kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo zilizopo Kisiwandui mjini Zanzibar jana. Kulia ni Mkewe, Hudda Ali.
Ali Abeid Karume, akitoa maelezo ya shukurani, baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Kulia ni mkewe, watoto wake na baadhi ya wanafamilia waliofika
kumsindikiza wakati wa kuchukua fomu.
Baada ya kuchukua fomu, Ali Karune alikwenda kufanya mkutano na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Serena, mjini Zanzibara na kumwaga sera zake na malengo ya kugombea urais ikiwa ni pamoja na CV yake kwa ujumla.
MTU WA TATU ALICHUKUA SAA 11:00 ASUBUHI
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (kushoto)akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Ali Juma Shamhuna, wakati alipofika
kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar jana.
Ali Juma Shamhuna, akizungumza na waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Zanzibar Ocean View, mjini Zanzibar baada ya kuchukua fomu.
MTU WA NNE ALICHUKUA SAA 12:00 MCHANA
Baadhi ya wananchi wakiwa nje ya Ofisi za CCM Makao Makuu Kisiwandui mjini Zanzibar, wakimsubiri, Hamad Bakari Mshindo, wakati alipokuwa akija kuchukua fomu.
MTU WA TANO ALICHUKUA SAA 2:00 MCHANA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (kushoto) akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Hamad Bakari Mshindo, wakati
alipofika kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar jana, na baadaye alifanya mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo mjini humo na baada ya hapo ilikuwa ni mapumziko ya saa moja kabla ya mtu wa tano.
alipofika kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar jana, na baadaye alifanya mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo mjini humo na baada ya hapo ilikuwa ni mapumziko ya saa moja kabla ya mtu wa tano.
MTU WA TANO ALICHUKUA SAA 2:00 MCHANA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (kushoto)akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar,
Mohamed Gharib Bilali, wakati alipofika kuchukua fomu hizo kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar
jana, naye baada ya hapo alikutana na waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Zanzibar Ocean View na kufanyanao mkutano.
HATIMAYE ALIKUA NI DK. SHEIN MTU WA SITA SAA 3:00 MCHANA

Huu ulikuwa ni msafara wa magari ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiingia katika viwanja vya Ofisi hizo.
Baadhi ya wapambe wa Dk Shein wakiwa nje ya ofisi hizo, wakimsubiri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wananchi nnje ya Ofisi za CCM Makao Makuu Zanzibar, kabla ya kuingia kuchukua fomu za
kugombea nafasi ya Urais Zanzibar.

Dk. Shein, akiwa na baadhi ya waumini wa dini ya kiislam, wakiomba dua katika kaburi la
aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume, lililopo nje ya ofisi hizo zilizopo
Kisiwandui.
aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume, lililopo nje ya ofisi hizo zilizopo
Kisiwandui.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (kushoto)
akimkabidhi Fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ali Mohamed Shein, wakati alipofika kuchukua fomu kwenye ofisi hizo mjini Zanzibar jana.

baadhi ya wazee na Dk. Shein wakiomba dua baada ya kukabidhiwa fomu.
Dk. Shein, akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar baada ya kuchukua fomu jana.
WA MWISHO ALIKUWA NI MOHAMED ABOUD ALICHUKUA SAA 4:00
Mke wa Mohamed Aboud Mohamed, akikabidhi fedha Sh. Milioni 1 kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Makao makuu ya Ofisi ya CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai.
No comments:
Post a Comment