Habari za Punde

*CHEKA NA VITUKO VYA MAAFANDE WA JESHI -LIVE, NI KWELI YAMETOKEA

Hili ni dege la Jeshi likiwa angani na askari kama unavyowaona hapa geti likiwa wazi huku wao wamejiachia tu wakiwa wamelala tena bila wasiwasi......

Mdau soma hii meseji alafu fikilia ungelikuwa ni wewe ndo upo maeneo kama haya ingekuwaje ma hii meseji? Je wewe ungesubiri hiyo Flash?

Eti jamaa anajaribu kupaa kwa kutumia linekote we unaweza kuonyesha miujiza zaidi yake?

Huyu Jamaa ingekuwaje kama tangazo lake hilo la maelekezo angeliweka tu hapo chini ama kulichimbia ujumbe si ungefika? tena kama haitoshi bado anatoa na ishala za mkono...kuonyesha msisitizo.

Eti hii ilikuwa ni siku ya Krismasi wakati wao wakiwa kazini na wanahitaji picha ya kumbukumbu wakaona ni bora wafotoe ili kulela maana ya siku hiyo wote wakavaa kofia hizi za Father Krismas.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.