Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI LEO PINDA AJIBU MASWALI YA WABUNGE YA PAPO KWA HAPO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali ya papo kwa hapo ya Wabunge katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Handeni, Abdallah Kigoda (Katikati) na Mbunge wa Kisarawe, Athumani Janguo, kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.