Habari za Punde

*MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA YAFANA JIJINI MWANZA -ELIMU YA KATIBA YATOLEWA KWA WANANCHI

Ofisa wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Joseph Mwakatobe (wapili kulia) akifafanua jambo kwa mkazi wa jiji la Mwanza aliyetembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika jijini Mwanza leo. Kushoto ni Ofisa wa RITA, Magdalena Gerald na Edna Kamara. Picha kwa hisani ya Wizara ya Katiba na Sheria.
Ofisa Sheria Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Felistas Mushi (kushoto) akitoa elimu ya Katiba na Sheria kwa mwananchi aliyetembelea banda la Wizara hiyo katika maonesho ya Utumishi wa Umma jijini, Mwanza leo.

Maelekezo ya kina yanaendelea kwa mwanachi...



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.