Habari za Punde

*SERENGETI BREWERIERS YATOA VIFAA VYA MICHEO KWA TIMU YA WABUNGE

Mwenyekiti wa Timu ya Bunge Sports Club, na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Joel Bendera (kulia) akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Mahusiano ya Jamii na Mashirika wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Winston Kagusa, kwa ajili ya timu hiyo inayotarajia kucheza michezo kadhaa ya kirafiki ukiwamo wa timu ya Waandishi wa Habari za michezo Taswa Fc, makabidhiano hayo yalifanyika katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Teddy Mapunda.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.