Balozi wa Msumbiji nchini, Amour Kupela, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya miaka 35 ya Uhuru wa nchi hiyo yanayofanyika kesho kwenye Viwanja vya Mwembeyanga Temeke. Kushoto ni Ofisa wa Ubalozi wa Msumbiji nchini
(1 st Secretary ) Rashide Ussuale. Pamoja na kuzungumzia siku ya maadhimisho ya Uhuru wa MSUMBIJI, Balozi Kupela amezungumzia masuala ya mafanikio ya miradi mabalimbali zikiwamo nyanja za kuinua uchumi. miundombinu, Kilimo, Madini, Utalii, Huduma za Afya, Elimu pamoja na vita vya kupambana kuondoa umaskini . Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment