Habari za Punde

*UKARABATI WA CLUB MAISHA WAKAMILIKA, SASA KUFUNGULIWA LEO

SASA KAZI INAANZA CLUB MAISHA
Hivi ndivyo Club Maisha inavyoonekana kwa nje baada ya kufanyiwa ukarabati kutokana na kuungua moto.

Mkurugenzi Mtendaji Maisha Klabu, Francis Ciza, akizungumza na waandishi wa habari kwenye jijini Dar es Salaam, kuhusu uzinduzi rasmi wa Klabu hiyo iliyokuwa imesitisha huduma zake baada ya kungua moto, ambayo imekamilika baada ya kufanyiwa ukarabati, inayotarajia kuanza kutoa huduma leo.Kushoto ni Meneja wa Klabu hiyo Alan Nyugi.

Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa kuhusiana na kukamilika kwa ukarabati wa ukumbi huo.

Waandishi wa habari wakipita huku na kule ndani ya ukumbi huo kukagua katika maeneo ili kujione ukarabati huo.

Waandishi wa habari Sophia Ashery kutoka gazeti la Chama na Serikali, Uhuru (kushoto) na Somoe Ng'itu, wakijaribu kucheza muziki katika eneo maalum la kuchezea muziki ndani ya ukumbi huo.

Sehemu ya ukumbi huo ndani ikiwa imekamilika tayari kwa kufanya kazi yake hii leo.

Mafundi wakiwa katika hatua za mwisho kumalia ukarabati ndani ya ukumbi huo.

Hii ni sehemu ya kupumzikia ndani ya ukumbi huo.

Mafundi wakimalizia ufundi kwa nje ya jengo hilo.







No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.