Habari za Punde

*RIDHIWANI KIKWETE ATUNUKIWA CHETI CHA UWAKILI WA KUJITEGEMEA

Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustino Ramadhan, akimkabidhi cheti cha kuwa Wakili wa kujitegemea, Ridhiwani Kikwete, wakati wa hafla ya kuwatunuku mawakili 1,322, iliyofanyika kwenye viwanja vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam leo.

Mke wa Rais Mama salma Kikwete, akimpongeza mwanae, Ridhiwani Kikwete, kwa kumpa shada la maua baada ya kutunukiwa Cheti cha kuwa Wakili wa kujitegemea, wakati wa hafla ya kuwatunuku mawakili 1,322, iliyofanyika kwenye viwanja vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam leo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.