Habari za Punde

*TIMU ZA AFRIKA ZAENDELEA KUBORONGA SOUTH, NIGERIA NAYO YACHAPWA 2-1 NA GREECE

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Taye Taiwo akimiliki mpira mbele ya Dimitrios Salpingidis wa Greece, wakati wa mchezo wa pili wa mzunguko wa kwanza wa Kundi B, uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Free State, Mangaung Afrika ya Kusini. Greece ilishinda mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.