Habari za Punde

*VODACOM YATOA MSAADA WA SH. M. 15 ZA UJENZI WA KITUO CHA POLISI

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba, ambaye pia ni Mkuu wa Mfuko wa Vodacom Faundation Tanzania (kulia) akimkabidhi Mfano wa hundi ya Sh. milioni 15, Mwenyekiti wa kijiji cha Kimaroroni, Moris Mathias (Katikati) kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha polisi cha kijiji hicho, kushoto ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamanda.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.