Habari za Punde

*JK ATUA DODOMA KATIKA KIKAO CHA PAMOJA NA MAWAZIRI

Rais Jakaya Kikwete, akiwapunga mkono kuwapungia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa mjini Dodoma jana mchana kwa ajili ya kuudhulia kikao cha pamoja na Mawaziri kilichofanyika kwenye Ukumbi wa TAMISEMI mjini humo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Rais Jakaya Kwete, akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma jana.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.