Habari za Punde

*WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI MUSTAFA MKULO ATOA TAARIFA YA UCHUMI, KUSOMA BAJETI YA MWAKA JIONI YA LEO

Waziri wa fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, akisoma taarifa ya Uchumi katika kikao cha Bunge mjini Dodoma leo, ambapo jioni ya leo saa 11, anatarajia kusoma Bajeti ya mwaka 2010, 2011, ya mapato na matumizi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.