Habari za Punde

*SERIKALI YAWASILISHA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA, MAPATO NA MATUMIZI 2010-2011

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akiwa na Mkoba wa Bajeti ya Serikali ya mwaka fedha wa mapato na matumizi, 2010, 2011, wakati akiingia kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo jioni kusoma na kuwasilisha bajeti hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.