Habari za Punde

*ZAIN YATOA MSAADA WA VITABU KWA WATOTO MAHABUSU

Mwalimu Margaret Lubeleje (kulia) anayefundisha watoto katika Mahabusu ya watoto wadogo ya Upanga jijini Dar es Salaam, akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa Meneja wa Huduma za Jamii wa Kampuni ya simu za mkononi, Zain Tanzania, Tunu Kavishe (kushoto), wakati kampuni hiyo ilipotoa msaada wa vitabu mbalimbali katika mahabusu hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyoadhimishwa jana. Picha kwa hisani ya Zain

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.