Habari za Punde

*WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO YATOA MAFUNZO YA UTAWALA BORA KWA WAFANYAKAZI WAKE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari , Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Utawala Bora kwa Maofisa wa Wizara hiyo yaliyofanyika jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa DICC leo. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO.
Baadhi ya Maofisa wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakishiriki katika mafunzo ya utawala bora yaliyofanyika jijini Dar es salaam leo.

Mkurugenzi wa Utawala na Raslimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezi Adamu Kyama, akitoa ufafanuzi juu ya taratibu za mawasiliano kwa watumishi wa umma wakati wa mafunzo ya Utawala bora kwa wafanyakazi wa wizara hiyo yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam, wakati wa mafunzo elekezi kwa Maofisa hao. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Seth Kamuhanda na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.