Habari za Punde

*RAIS KARUME ATEMBELEA SHAMBA LA MPUNGA NA MAHINDI LA JESHI LA JKU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume, pamoja na Viongozi wengine wa Serikali, wakishiriki katika uvunaji wa Mpunga leo, katika kijiji cha Upenja Mkoa wa Kaskazini Unguja katika shamba la Mpunga la Jeshi la Kujenga Uchumi, JKU, (kushoto) ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Mazingira, Burhani Sadat Haji, (kulia) Kaimu Mkuu wa JKU Kanali Sudi Haji Khatib. Picha na Ramadhan Othman-Ofisi ya Rais Ikulu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, akangalia mahindi wakati alipofanya ziara ya kutembelea shamba la kilimo cha mahindi katika Kambi ya Jeshi la kujenga Uchumi Bambi JKU, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.