Habari za Punde

*RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA BARABARA YA KIGOMA-KIDAHWE

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi Barabra ya Kigoma -Kidahwe yenye kiwango cha rami na urefu wa kilometa 35.7 ambayo ni shemu ya mtandao wa barabara unounganisha Mkoa wa Kigoma na Mikoa ya Tabora , Rukwa, Shinyanga na Kagera, Barabara hiyo imejengwa na Kampuni ya China Henan, ambayo ujenzi wake umegharimu jumla ya Sh. Bilioni 37.1 zilizotolewa na Serikali ya Tanzania. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Wasanii wa kikundi cha ngoma za asili cha akinamama cha Warumba wa Nyakanga chenye maskani yake Ujiji Kigoma, wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa barabara mpya ya Kigoma hadi Kidahwe, iliyozinduliwa na Rais jakaya Kikwete leo.








No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.