Habari za Punde

*WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WAANZA MITIHANI

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari, wakiwa wamepakiwa kwa staili ya Mishikaki, wakati wakitoka shule baada ya kumaliza mtihani wa kwanza wa kidato cha nne ambao umeanza nchini kote, Lakini wanafunzi wamekuwa wakisumbuliwa na usafiri na kulazimika kutumia usafiri hatari kama wanavyoonekana pichani ni baada ya kusimama kwa muda mrefu katika Kituo cha Daladala kusubiri usafiri bila mafanikio na kuamua kuchanga pesa na kupanda usafiri huo kwa pamoja. Usafiri huu ni hatari kwa wanafunzi kutokana na staili hii ya Mishikaki ambayo linapotokea jambo hata dereva hushindwa kukontrol na hatimaye kusababisha ajali ambayo hupelekea kujeruhiwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.