Habari za Punde

*AJALI YA BABJAJI

Raia wa maeneo ya Matumbi, wakiangalia Bajaji iliyopata ajali kwa kugongwa na gari katika Barabara ya Mandera eneo la Matumbi jijini Dar es Salaam leo mchana. Dereva wa Bajaji hiyo alipatwa na majeraha na kukimbizwa Hospitali ya Amana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.