Habari za Punde

*MVUA YA SIKU MOJA TU DAR BALAA TUPU, MAGARI YAKWAMA

Magari yakiwa yamenasa katika Barabara ya Goba eneo la Kwa Sanya Mbezi Juu, kutokana na barabara hiyo kuharibika na kuwa na utelezi kufuatia mvua kubwa iliyonyeshi jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.