Habari za Punde

*ASKARI AKUTWA AMEJINYONGA, UTATA MTUPU!

Askari wa kampuni ya ulinzi ya Force Group Security, aliyefahamika kwa jina la Charles akiwa amening'inia katika mti wa mpera baada ya kusadikiwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali na tai, leo asubuhi eneo la mtaa wa Kwamkarangani Frelimo mjini Iringa. hata hivyo kutokana na mazingira ya kifo hicho wananchi wameonyesha wasiwasi wao kutokana na jinsi askari huyo alivyokutwa amening'inia huku miguu yake ikiwa imegusa chini.
Gari la Polisi likiwa limewasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.