Habari za Punde

*SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA GRIDI YA TAIFA HADI SHINYANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Ramadhani Khijjah(kushoto), akitiliana saini ya msaada wa fedha wa Sh bilioni 106 na msaidizi wa barozi wa Japani Shuichiro Kawaguchi, kwa ajili ya kuisaidia Serikali ya Tanzania ili kusafirisha umeme kutoka gridi ya Taifa mkoani Iringa hadi mkoa wa Shinyanga.Picha na Michael Matemanga

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.