Habari za Punde

*JK AKABIDHIWA KOMBE LA CHALLENGE IKULU LEO

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) Shadrack Nsajigwa, akimkabidhi Kombe la Challenge, Rais wa Tanzania jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Rais kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji wa timu hiyo baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa michuano ya hiyo ya CECAFA Tusker Challenge Cup 2010, iliyomalizika jijini jana. Kilimanjaro iliibuka mshindi baada ya kifunga timu ya Ivory Coast bao 1-0. Pembeni yake ni Mama Salma Kikwete na Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi. Picha na Freddy Maro
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kizima cha Timu ya Kilimanjaro Stars Ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.