Habari za Punde

*KILIMANJARO STARS INAONGOZA 1-0

Beki wa kulia wa Kilimanjaro Stars, Shadrack Nsajigwa, akimchambua kipa wa Ivory Coast, na kuandika bao la kwanza katika kipindi cha kwanza, hivyo mpaka timu hizo zinakwenda mapumziko Kili 1, Ivory Coast, 0.
Nsajigwa, akishangilia bao lake...
Wachezaji wa Coast, wakimzonga refa baada ya kutoa penati hiyo.
Mashabiki wakishangilia bao hilo.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.