Habari za Punde

*KILIMANJARO STARS YAICHAPA RWANDA 1-0

Henry Joseph wa Kilimanjaro Stars,(kushoto)akijaribu kumpita mchezaji wa timu ya Rwanda, Jean Iranz, wakati wa mchezo wa robofainali ya nne ya Chalenji uliofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam mchezo iliomalizika jioni hii, ambapo Kilimanjari Stars imeibuka na ushindi wa bao 1-0, lililofungwa na beki wa kulia wa Stars, Shadrack Nsajigwa kwa mkwaju wa penati kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.