Habari za Punde

*GARI LA AINA YAKE MITAA YA JIJINI DAR LEO

Abiria wa kigeni wakiwa ndani ya gari lenye mfano wa ghorofa katika foleni ya magari kwenye mataa ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Gari hilo lililkuwa kivutio kwa kila mpitanjia kwa jinsi lilivyo na abiria waliokuwamo ndani yake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.