Habari za Punde

*SOLOMON MUKUBWA APATA AJALI MPAKANI MWA KENYA NA TANZANIA

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Solomon Mukubwa, amepata ajali ya gari wakati akiwa njiani kutoka nchini Kenya kwenda Silali Musoma , mpakani mwa Tanzania na Kenya ambako alikuwa anatarajia kufanya onyesho. Ameeleza shuhuda wa ajali hiyo ambaye pia ni miongoni mwa waratibu wa onyesho hilo, ambpo amedai kuwa Solomon hakuumia sana bali amepatwa na majeraha kidogo ila Meneja wake ndiyo ameelezwa ameumia zaidi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.