Habari za Punde

*WAZIRI APATA MSIBA, AFIWA NA DADA YAKE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera Uratibu na Bunge, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Isman Mkoa wa Iringa, William Lukuvi, amefiwa na Dada yake mdogo aliyetajwa kwa jina la Odina, aliyefariki katika Hospitali ya mkoa wa Ruvuma ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Mwili wa marehemu unataraji kuwasili kesho asubuhi katika kijiji cha Ifunda kibaoni ambako ni nyumbani kwa marehemu huyu kwa ajili ya shughuli za mazishi. Habari ziwafikie ndugu jama na marafiki wote wa Lukuvi popote walipo, ukoo wa kalinga , ukoo wa akina Godwin.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.