Mshambuliaji wa timu ya Uganda, Emmanuel Okwi (kulia) akichuana kuwania mpira na kipa wa Ethiopia, Binyam Habtamu, wakati wa mchezo wa kuwania nafasi ya tatu ya michuano ya Kombe la Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo hadi hivi sasa mchezo huo bado unaendelea huku Ethiopia ikiwa mbele kwa mabao 2-1.
Kipa wa Ethiopia, Binyam Habtamu, akiokoa moja ya hatari langoni kwake.
Kipa wa Ethiopia, Binyam Habtamu, akiokoa moja ya hatari langoni kwake.
Katika mchezo unaoendelea Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, hivi sasa kati ya Uganda na Ethiopia wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Kombe la Tusker Challenge, Ethiopia inaongoza kwa mabao 2-1, yote yakifungwa katika kipindi cha kwanza na mshambuliaji, Omod Okwury Omod.
No comments:
Post a Comment